Sasa hauna haja ya kupaniki baada
ya kupoteza data/taarifa zako muhimu katika kifaa chako chenye uwezo wa
kuhifadhi
kumbukumbu,kikiwemo Kompyuta (Hard disk),Flashi,simu (memory card) na Kamera.
kumbukumbu,kikiwemo Kompyuta (Hard disk),Flashi,simu (memory card) na Kamera.
BTC tumekusogezea huduma zetu karibu yako tukiwa katika muendelezo wa adhima yetu kuu ya kukupunguzia kama Si kukuondolea kabisa usumbufu wa kutafuta huduma za msingi zilizopo mbali na wewe.
Sasa tupo kwa ajili yako
kukuhakishia data/taarifa zako
zilizopotea baada ya kuzihifadhi katika kifaachako cha kijiditali(Digital)
zinarudi kama zilivyokuwa hapo awali.
Kwa sababu hii huna haja sasa ya
kupaniki na kukata tamaa baada ya kufikiria juhudi kubwa ulizozifanya za
kuzihifadhi, kuzitafuta au kuziandaa data hizo.Njoo haraka tukusaidie kuzipata
data zako...
GHARAMA ZETU
Gharama zetu za huduma hii (Data recovery) ni nafuu na zinazingatia ukubwa wa data zilizopotea ambazo zinahitajika kurudishwa ,na aina ya kifaa kilichohifadhi data husika.
Hebu tuupitie mchanganuo huu mfupi wa gharama nafuu za huduma :-
KUNDI : A
|
||
KIFAA/AINA ZA VIFAA
|
UKUBWA
|
GHARAMA(Tzs)
|
Flashi ,Simu,Memory Kadi , na vifaa vingine vyenye
uhifadhi wa data kuanzia GB : 1 – 32
|
GB : 1 - 2
|
3000
|
GB : 2.1 - 4
|
5000
|
|
GB : 4.1 – 6
|
7000
|
|
GB : 6.1 - 8
|
9000
|
|
GB : 8.1 -
10
|
11000
|
|
GB:10.1- 12
|
12500
|
|
GB : 12.1
-14
|
14000
|
|
GB : 14.1 - 16
|
15500
|
|
GB : 16.1 -
18
|
17000
|
|
GB : 18.1 - 20
|
18000
|
|
GB : 20.1 -
22
|
19000
|
|
GB : 22.1 - 24
|
20000
|
|
GB : 24.1 -
26
|
21000
|
|
GB : 26.1 – 28
|
22000
|
|
GB :28.1 -
30
|
23000
|
|
GB : 30.1 - 32
|
24000
|
KUNDI : B
|
||
KIFAA/AINA ZA VIFAA
|
UKUBWA
|
GHARAMA(Tzs)
|
Hard-disk za kompyuta na
vifaa vingine vyenye uhiifadhi wa data Zaidi ya GB : 32
|
GB : 32.1
na kuendelea
|
Tsh1000/GB
|