DATA RECOVERY


Kupaniki sasa Basiiiii  !!!!!!!!.


Sasa hauna haja ya kupaniki baada ya kupoteza data/taarifa zako muhimu katika kifaa chako chenye uwezo wa kuhifadhi


kumbukumbu,kikiwemo Kompyuta (Hard disk),Flashi,simu (memory card) na Kamera.

BTC tumekusogezea huduma zetu karibu yako tukiwa katika muendelezo wa adhima yetu kuu ya kukupunguzia kama Si kukuondolea kabisa usumbufu wa kutafuta huduma za msingi zilizopo mbali na wewe.
Sasa tupo kwa ajili yako kukuhakishia data/taarifa  zako zilizopotea baada ya kuzihifadhi katika kifaachako cha kijiditali(Digital) zinarudi kama zilivyokuwa hapo awali.
Kwa sababu hii huna haja sasa ya kupaniki na kukata tamaa baada ya kufikiria juhudi kubwa ulizozifanya za kuzihifadhi, kuzitafuta au kuziandaa data hizo.Njoo haraka tukusaidie kuzipata data zako...

GHARAMA ZETU

Gharama zetu za huduma hii (Data recovery) ni nafuu na zinazingatia ukubwa wa  data zilizopotea ambazo zinahitajika kurudishwa ,na aina ya kifaa kilichohifadhi data husika.

Hebu tuupitie mchanganuo huu mfupi wa gharama nafuu za huduma :-

KUNDI : A
KIFAA/AINA ZA VIFAA
UKUBWA
GHARAMA(Tzs)
Flashi ,Simu,Memory Kadi , na vifaa vingine vyenye uhifadhi wa data kuanzia GB : 1 – 32


GB : 1 - 2
3000
GB : 2.1 - 4
5000
GB : 4.1 – 6
7000
GB : 6.1 - 8
9000
GB : 8.1 - 10
11000
GB:10.1- 12
 12500
GB : 12.1 -14
14000
GB : 14.1 - 16
15500
GB : 16.1 - 18
17000
GB : 18.1 - 20
18000
GB : 20.1 - 22
19000
GB : 22.1 - 24
20000
GB : 24.1 - 26
21000
GB : 26.1 – 28
22000
GB :28.1 - 30
23000
GB : 30.1 - 32
24000



KUNDI : B
KIFAA/AINA ZA VIFAA
UKUBWA
GHARAMA(Tzs)
Hard-disk za kompyuta na vifaa vingine vyenye uhiifadhi wa data Zaidi ya GB : 32
HDD



GB : 32.1  na kuendelea
Tsh1000/GB