HUDUMA ZA UMEME

__________________________________________________________________________________
[ DUKA LA VIFAA VYA UMEME  ][  MAFUNDI UMEME ][ VIFAA YA SIMU ]
__________________________________________________________________________________

BIDHAARADE ELECTRONCS   

Ili kuonesha kuwa tunajali na kuthamini mahitaji ya kila jamii, BidhaaTrade Centre (BTC)  tunaendelea kusogeza kila huduma za msingi  ambazo ni mahitajio kwa jamii.Huduma zetu ni za kisasa na muhimu zinazohitajika kila siku na kila wakati katika jamii ambazo zipo chini ya ufanisi na ueledi wa nguvu kazi zetu .

Sasa  BTC tumefungua duka la vifaa vya umeme katika eneo lilelile ilipo ofisi ya huduma za kompyuta ambapo ni rahisi kufikika hasa kwa mkazi wa Mabibo,Manzese,Kigogo,Mburahati,Ubungo na hata kwa wengine walio jirani na maeneo hayo kama vile kwa wale wanaotoka Mbezi,Kariakoo ,au Makumbusho.

BIDHAA TUNAZO UZA

Bidhaa tunazouza ni nyingi kiasi ambaco ni vigumu kuzitaja zote,miongoni mwa bidhaahizo ni :-
  • Swichi za aina zote ,
    • Za taa njia moja , mbili ,tatu a kuendelea
    • Za soketi njia moja ,mbili na kuendelea
    • Bed switch 
  • Swichi Kuu (Main Switches) za aina mbalimbali
    • za njia nne,sita,nane na kuendelea 
  • Taa za aina mbali mbali zenye uwezo tofauti
    • tubelights (futi 2 & 4)
    • Energy saver za mfumo wa "U"(2u & 3u n,k) na za mfumo wa mzunguko(spiral)
  •  Extension sockets za njia zofauti
    • za njia tatu ,nne,sita,nane n.k
    • zenye nyaya za urefu na ubora tofauti,
    • zenye mifumo tofauti ya uwashaji na uzimaji.
  • Nyaya za aina mbalimbali kavile
    • twin (1.5 & 2.5)
    • single (1.5 & 2.5)
    • nyaya za pasi
    • nyaya za radio n.k
  • Holder aina mbalimbali za taa (mfano za Angle na Straight)
  • Fittings na choki za tubelight (za futi 2 & 4)
    .
Gharama za bidhaa zetu ni nafuu zinazo zingatia uchumi wa mtanzania.Mfumo wa uuzaji wa bidhaa zetu ni warejareja, 



__________________________________________________________________________________
[ DUKA LA VIFAA VYA UMEME  ][  MAFUNDI UMEME ][ VIFAA YA SIMU ]
__________________________________________________________________________________