MAWASILIANO

Tunapatikana Manzese_Mtaa wa Mferejini karibu na Stendi ya Engo au Soko la Mahakama ya ndizi--Mabibo.
Tunatazamana na Hoteli ya NEW WHITE HOUSE karibu na Msikitiwa Jumuiya Makaburini.
Tunapakana na hoteli ya PASSWORD kushotoni kwetu.

Ikiwa utahitaji huduma zetu zikufikie hapo ulipo,tafadhali wasiliana nasi kupitia

Simu   :0717 957636
             : 0788 957636
             : 0759 763636
             : 0673 303138
             : 0755 534453

Email  : bidhaatrade@gmail.com
             : bidhaatrade@yahoo.com 

TUFUATE KWA RAMANI
 1>; Ramani kutokea MBEZI, KIMARA---

Kutokea Mbezi-- Panda gari la Kariakoo,shuka kituo "Big-Blother (Urafiki) ",vuka barabara upande wa sheri ya mafuta ya "Lake Oil".Fuata barabara iendayo Mabibo mwisho kwa gari au miguu(Siyo mbali), fika kituo cha Engo (au Soko la Ndizi),Kata barabara ya kushoto ,ulizia Hoteli iitwayo "PASS WORD HOTEL".
Ukifika mtaa wa hoteli, Utaona ofisi yetu ina bango kwa juu linalosomeka " BIDHAATRADE ELECTRONICS"
Hapo utakuwa umeshafika.
au ulizia "kwa fundi Kompyuta" utaletwa au kuelekezwa.

2>; Ramani kutokea KARIAKOO---

Panda gari zielekeazo Mabibo,shuka stendi ya "Engo (soko la ndizi)",Kata barabara ya kushoto ,ulizia Hoteli iitwayo "PASS WORD HOTEL".
Ukifika mtaa wa hoteli, Utaona ofisi yetu ina bango kwa juu linalosomeka " BIDHAATRADE ELECTRONICS"
Hapo utakuwa umeshafika.

au ulizia "kwa fundi Kompyuta" utaletwa au kuelekezwa.

3> Ramani Kutokea MOROCCO, Mikocheni----

Panda gari za Kariakoo,Mbagala, Buguruni au Temeke-- shuka kituo cha Magomeni kanisani.
Panda gari ya Mabibo,shuka stendi ya "Engo (soko la ndizi)",Kata barabara ya kushoto ,ulizia Hoteli iitwayo "PASS WORD HOTEL".
Ukifika mtaa wa hoteli, Utaona ofisi yetu ina bango kwa juu linalosomeka " BIDHAATRADE ELECTRONICS"
Hapo utakuwa umeshafika.
au ulizia "kwa fundi Kompyuta" utaletwa au kuelekezwa.

4>; Ramani Kutokea Makumbusho---
Njia A)>>

Panda gari za Mabibo zinazopitia Magomeni, shuka stendi ya "Engo (soko la ndizi)",Kata barabara ya kushoto ,ulizia Hoteli iitwayo "PASS WORD HOTEL".
Ukifika mtaa wa hoteli, Utaona ofisi yetu ina bango kwa juu linalosomeka " BIDHAATRADE ELECTRONICS"
Hapo utakuwa umeshafika.
au ulizia "kwa fundi Kompyuta" utaletwa au kuelekezwa. AU

Njia B)>>>

Panda gari za Kariakoo,zinazopitia Bamaga, Sinza.shuka kituo "Big-Blother (Urafiki) ",vuka barabara upande wa sheri ya mafuta ya "Lake Oil".Fuata barabara iendayo Mabibo mwisho kwa gari au miguu(Siyo mbali), fika kituo cha Engo (au Soko la Ndizi),Kata barabara ya kushoto ,ulizia Hoteli iitwayo "PASS WORD HOTEL".
Ukifika mtaa wa hoteli, Utaona ofisi yetu ina bango kwa juu linalosomeka " BIDHAATRADE ELECTRONICS"
Hapo utakuwa umeshafika.
au ulizia "kwa fundi Kompyuta" utaletwa au kuelekezwa.

5> Ramani kutokea Mbagala,Gongo la mboto,Buguruni, Tabata (zote ) -------

Panda gari ya "Ubungo Mawasiliano",shuka mwisho wa gari(kituo cha Mawasiliano),panda gari la Kariakoo,shuka kituoni "Big-Blother (Urafiki) ",vuka barabara upande wa sheri ya mafuta ya "Lake Oil".Fuata barabara iendayo Mabibo mwisho kwa gari au miguu(Siyo mbali), fika kituo cha Engo (au Soko la Ndizi),Kata barabara ya kushoto ,ulizia Hoteli iitwayo "PASS WORD HOTEL".
Ukifika mtaa wa hoteli, Utaona ofisi yetu ina bango kwa juu linalosomeka " BIDHAATRADE ELECTRONICS"
Hapo utakuwa umeshafika.
au ulizia "kwa fundi Kompyuta" utaletwa au kuelekezwa.

6> Ramani kutokea Kigamboni, na Posta Kivukoni-----

Vuka maji mpaka Stendi ya magari "Posta Kivukoni".Panda gari la Kimara au Mawasiliano.shuka kituoni "Big-Blother (Urafiki) ",upande wa sheri ya mafuta ya "Lake Oil".Fuata barabara iendayo Mabibo mwisho kwa gari au miguu(Siyo mbali), fika kituo cha Engo (au Soko la Ndizi),Kata barabara ya kushoto ,ulizia Hoteli iitwayo "PASS WORD HOTEL".
Ukifika mtaa wa hoteli, Utaona ofisi yetu ina bango kwa juu linalosomeka " BIDHAATRADE ELECTRONICS"
Hapo utakuwa umeshafika.
au ulizia "kwa fundi Kompyuta" utaletwa au kuelekezwa.

Karibu tukuhudumie