WASHIRIKA

   
Kwa mujibu wa utafiti wa kisayansi, wataalam katika fani hiyo wametuelezea ya kuwa ;Kichwa kimekusanya milango mingi ya fahamu kuliko sehemu yoyote ya mwili.
Richa ya milango ya fahamu kichwani ndipo kunapo patikana Ubongo,ambao ndio msingi wa uendeshaji wa shughuli zote za mwili zinazojumuisha matendo ya hiari na yasiyo ya hiari..Hivyo kichwa ni sehemu muhimu ya binadamu inayohitaji matunzo ya kila namna na kwa gharama yoyote ile.

Moja ya matunzo hayo ni Usafi.Watafiti wa kisayansi wanatushauri kila siku na kila mara ,tuwe wasafi wameno yetu kwa uchache kuyasafisha kilabaada ya kula chakula.Vilevile hawaktuacha kutushauri juu ya kuyakinga macho yetu, dhidi ya vumbi,kwa kuepuka kukaa au kutembea  sehemu zenye mazingira hayo.
Lakini pia hawakuacha kutushauri na kutusisitiza juu ya usafi wa kichwa  kwa upande wa nywele zetu.

Usafi na muonekano wa nywele ndio unaompelekea mtu kuelekezewa heshima tofauti kutoka kwa wale wanaomzunguka.Staili au muweko wa nywele ,ndio unao muelezea mtu kuwa ni wa namna gani katika jamii.
Kwa ujumla au kwa kifupi ni kwamba,yeyote yule siyezitunza na kuzijali nywele zake hushushwa hadhi na heshima kila siku katika jamii.Hali hi ni kinyume kwa yule anaye kijali kichwa chake na kutunza usafi na muonekano wa nywele zake.

BTC tukishirikiana na FRIEND'S BARBER SHOP, tunawatangazia wale wote wanaopenda usafi wa vichwa vyao,kuwa tunatoa huduma za kudizaini nywele katika mitindo inayoendana na mionekano ya wateja wenyewe ,pia tunatoa huduma za Magic , Scrub na Unyoaji kwa ujumla.

Kumbuka , FRIEND'S BARBER SHOP tuna mashine za kisasa.
 
Scrub zinazoendana na afya ya ngozi yako.



Tunajali na tunazingatia Afya na Mng'aro wa nywele zako.


  Tunazingatia harufu na mvuto wa nywele zako.



Tunafanya juhudi kuhakikisha tunakutibu ,na kukukinga dhidi ya mapele , michubuko au mikato


Tutazilainisha nywele zako na kuzinyoa bila kuhisi maumivu.


Ikiwa utahitaji kunyoa bila kutumia Mashine,kwetu huduma bora utaipata.


Kwa faida zaidi kwa wateja wetu ni kuwa, FRIEND'S BARBER SHOP ,ina wahudumu makini zaidi ambao:
  • humsikiliza mteja kwa umakini zaidi kabla ya kumhudumia.
  • Hutoa ushauri wa  mtindo mbadala kwa mteja iwapo mtindo wa nywele aliyoupendekeza hautoendana na muonekano wake.
  • Hutumia dawa na vipodozi vya kisasa ambavyo havisabishi mapele kwa wateja bali hutibu yale waliokuja nayo wateja kutoka sehemu zingine.
  • Hupenda kusikiliza rai / mapendekezo ya wateja juu ya uboreshaji wa huduma.
 NYOOTE MNAKARIBISHWA