HUDUMA


Huduma  zetu bado zinaendelea,mnakaribishwa nyote






KUMBUKA HUDUMA ZETU

> Tunaweka windows,katika Kompyuta zilizo na zisizo na milango ya CD {CD-ROM}.
> Tunarekebisha matatizo ya Hard-disk zenye partition za Dynamic,zinazopelekea kushindwa kushika Windows.
> Tunatoa password katika Kompyuta(Windows) zilizogoma kufunguka mpaka ziingizwe password.
> Tuna Activate & upgrade Windows.
> TunaSet BIOS katika kompyuta zinazogoma kuwaka zikiwa zimewekwa Flash au CD wakati wa kuwashwa.
> Tunaset Jampa katika hard-disk (za IDE) mpya na zilezisizoonekana katika kompyuta.
> Tunaset na kuweka Har-disk,RAM na Processor mpya kwa mteja anayetaka kubadilisha au kuongeza vifaa hivyo katika Kompyuta yake.
> Tunaweka Driver zilizokosekana katika Kompyuta.
> Tunaunganisha Simu na Intaneti.